Up

 

 

             Ghala ya Picha za A. P. de Lord

Pereira de Lord na kaka yake walikuwa miongoni mwa wapigapicha wabunifu zaidi  katika historia ya Zanzibar. Hakuna mtu bado ana kazi zaidi zilizohifadhiwa  zinazopatikana leo kuliko wao, hii huenda ikawa ni kwa sababu hakuna mtu mwingine alichukua/piga picha zaidi za Zanzibar ya zamani kuliko wao.

Wanaonekana kuwa wamekuwepo kila mahali  miaka ya mwanzoni, katika mji mzima, nchini, baharini, katika majengo marefu na bila shaka waliendeleza pia studio. Huko, mbali kidogo na mtaa mkuu katika Mji Mkongwe, walitoa kumbukumbu nzuri kwa aina zote za wateja.


 

.

Bustani za Victoria

Bustani hizi zilibuniwa na kupandwa na wataalamu wa kiGoa na zilitolewa kwa jiji na Seyyid Hamoud mwaka 1899. Zilizopo karibu na njia kuu kuelekea jijini bustani hizo zilitumika kama sehemu ya kukutania na kupumzika ya watu wa daraja la juu.

 

 



                  Ghala la Picha za Coutinho Ghala za Gomes Ghala za deLord Ghala la Picha za Harji   

 

                              Imekusanywa na kuhaririwa na Barghash 2004

                                      Haki Zote Zimehifadhiwa.  Barghash@msn.com

                                         Imetafsiriwa na George Mwidima gmwidima@yahoo.com

Up Ghala la Picha za Coutinho Ghala za Gomes Ghala za deLord Ghala la Picha za Harji