Up

 

 

                          Ghala la Picha za Harji


        Kazi za  Ali Pira Harji, kwa makadirio mwaka 1900 hadi 1915  

Ali Pira Harji alikuwa na jicho zuri  na alionekana kufurahia  kuweka kumbukumbu  kwa upande wa shughuli za biashara  za maisha katika Mji Mkongwe.  Kidogo sana inajulikana kuhusu maisha yake binafsi, hata  mahali ilipo studio yake.

 

Picha hapa chini zaonesha baadhi ya kazi nzuri zaidi za usanii. Bonyeza  kwenye picha ndogo ili kuona picha kubwa. Bonyeza kwenye mishale midogo karibu ya safu ya picha kuona mifano yote 9.



 

.

Mnada wa Karafuu.

Nyuma ya mapazia ya biashara kubwa zaidi ya kusafirisha nje viungo duniani kwa wakati huo kulikuwa na shughuli nyingi za kuchambua, kupanga, na kufungasha.

Mauzo ya karibia mazao yote yalifanywa kupitia mnada.

 


 

 

 

 

                               Imekusanywa na  Barghash. 2004

                               Haki Zote Zimehifadhiwa  Barghash@msn.com

                        Imetafsiriwa na George Mwidima gmwidima@yahoo.com

                 Ghala la Picha za Coutinho Ghala za Gomes Ghala za deLord Ghala la Picha za Harji