Historic Photographers
Zanzibar Sketches
Palatial Zanzibar
Zanzibar mosques
Zanzibar Women
Kanga and Zanzibar
Six Famous Zanzibari
Oman and Zanzibar
Zanzibar Courage
Goa and Zanzibar
Zanzibar Christians
Zanzibar Ships
Lights of Zanzibar
Tumekuja School
Zanzibar Golf
Space Station Zanzibar
A Funeral In Zanzibar
Zanzibar Fire
Zanzibar Revolution
Nine Hour Revolution
Mass Graves
Images of a Revolution
??? ?????? ?? ???????
KiSwahili Pages
Diving Zanzibar
111 Links
Table of Contents
Search My Site
GUESTBOOK

Oman na Zanzibar

Baadhi ya Picha zinaonesha historia ya uhusiano wa Zanzibar na Oman. • Majahazi yameunganisha ndugu katika hizi nchi mbili sikuzote.

 • Majahazi yalikuwa ya ukubwa mbalimbali, historia yake ni ya zamani sana kuweza kuelezea. Yanasemekana kuwa ni ya zamani kuliko mtu anavyoweza kuamini.

 • Masultani wa zamani waliyaheshimu. Kwa mfano kuna ngome iliyojengwa katika kina kirefu cha maji katika muundo wa jahazi kwa ajili ya familia ya Sultan.

 • Yalikuja mamia kwa mamia kutokea Oman na kutoka maeneo mengine ya kiarabu.

 • Wakati wa msimu wa biashara sehemu kubwa ya mji ilishiriki katika shughuli hiyo kwa namna fulani.

 • Baadaye wafanyabiashara kutoka mataifa mengine wakaja.

 • Ya faida kubwa biashara hii ilikuwa kiasi kwamba wafanyabiashara kutoka nchi za magharibi walizipa meli zao majina ya washirika wao wa kibiashara.

 • Uongozi wa Oman na Zanzibar ulianza kujitenga.

 • Familia ya mtawala ilionesha msimamo.

 • Mshikamano

 • Utajiri

 • na Uongozi

 • Hiyo iliyowahi kuwa himaya... hivi sasa ni kumbukumbu tu.

 • Uzuri wa enzi hizo zilizopita.

 • hivi sasa waleta faraja kwa wale tu wakumbukao.na Barghash 2002 haki zote zimehifadhiwa.

Imetafsiriwa na Mwalimu George Mwidima gmwidima@yahoo.com

Hit Counter


Up Wazanzibarr_Maarufu.htm WAPIGA PICHA WA KIHISTORIA WA ZANZIBAR Zanzibar Maridhawa Michoro ya Kale ya Zanzibar WANAWAKE WA ZANZIBAR Ujasiri wa Zanzibar Misikiti ya Zanzibar Oman na Zanzibar WAGOA_na_zanzibar WAKRISTO WA ZANZIBAR Sherehe ya Miaka 25 ya mwaka 193 KITUO CHA ANGA ZANZIBAR SKULI YA TUMEKUJA Mazishi Zanzibar Kupiga mbizi Zanzibar Tovuti mia moja kumi na moja za Zanzibar MAPINDUZI YA ZANZIBAR MAPINDUZI YA SAA TISA MAKABURI YA HALAIKI