Historic Photographers
Zanzibar Sketches
Palatial Zanzibar
Zanzibar mosques
Zanzibar Women
Kanga and Zanzibar
Six Famous Zanzibari
Oman and Zanzibar
Zanzibar Courage
Goa and Zanzibar
Zanzibar Christians
Zanzibar Ships
Lights of Zanzibar
Tumekuja School
Zanzibar Golf
Space Station Zanzibar
A Funeral In Zanzibar
Zanzibar Fire
Zanzibar Revolution
Nine Hour Revolution
Mass Graves
Images of a Revolution
??? ?????? ?? ???????
KiSwahili Pages
Diving Zanzibar
111 Links
Table of Contents
Search My Site
GUESTBOOK

Ghala la Picha za Harji


Kazi za Ali Pira Harji, kwa makadirio mwaka 1900hadi 1915

Ali Pira Harji alikuwa na jicho zuri na alionekana kufurahia kuweka kumbukumbu kwa upande wa shughuli za biashara za maisha katika Mji Mkongwe. Kidogo sana inajulikana kuhusu maisha yake binafsi, hata mahali ilipo studio yake.

Picha hapa chini zaonesha baadhi ya kazi nzuri zaidi za usanii. Bonyeza kwenye picha ndogo ili kuona picha kubwa. Bonyeza kwenye mishale midogo karibu ya safu ya picha kuona mifano yote 9..

Mnada wa Karafuu.

Nyuma ya mapazia ya biashara kubwa zaidi ya kusafirisha nje viungo duniani kwa wakati huo kulikuwa na shughuli nyingi za kuchambua, kupanga, na kufungasha.

Mauzo ya karibia mazao yote yalifanywa kupitia mnada.


Imekusanywa na Barghash. 2004

Haki Zote Zimehifadhiwa Barghash@msn.com

Imetafsiriwa na George Mwidima gmwidima@yahoo.com

Ghala la Picha za Coutinho Ghala za Gomes Ghala za deLord Ghala la Picha za Harji