Historic Photographers
Zanzibar Sketches
Palatial Zanzibar
Zanzibar mosques
Zanzibar Women
Kanga and Zanzibar
Six Famous Zanzibari
Oman and Zanzibar
Zanzibar Courage
Goa and Zanzibar
Zanzibar Christians
Zanzibar Ships
Lights of Zanzibar
Tumekuja School
Zanzibar Golf
Space Station Zanzibar
A Funeral In Zanzibar
Zanzibar Fire
Zanzibar Revolution
Nine Hour Revolution
Mass Graves
Images of a Revolution
??? ?????? ?? ???????
KiSwahili Pages
Diving Zanzibar
111 Links
Table of Contents
Search My Site
GUESTBOOK

Ghala ya Picha za A. C. Gomes

A. C. Gomes alianzisha studio ya picha Zanzibar labda mapema sana mwaka 1868. Alikuwa na ushirikiano wa muda mfupi na J. B. Coutinho katika miaka ya 1890. Mtoto wake wa kiume P. F. Gomes aliendeleza shughuli hiyo ya kifamilia Zanzibar kwa miaka mingi, alifariki mwaka 1932. Kwa miaka yote hiyo wote wawili wametuacha na baadhi ya picha za kuvutia.

Bonyeza kwenye mishale midogo pembeni ya safu ya juu ya vipicha vidogo ili kuona mifano yote 9.


.

Kuendesha Chetezo kwa Upepo Zanzibar

Wakati wa pepo za masika, kwenye mkondomaji wa Zanzibar, vifaa vyote vieleavyo vya kila aina viliweza kufikia/kwenda kasi kubwa. Picha hii baadaye ilitengenezwa stempu. Mtu ni lazima ashangae jinsi gani hasa picha hii ilivyochukuliwa/pigwa.


Kiasi kidogo cha historia ya familia kinaweza kuonekana katika namna Gomes mkubwa alivyoziwekea lebo picha zake.

Kazi yake ya mwanzo kabisa ina alama ya Gomes and Company.

Kisha katika miaka michache twaona Gomes na Mtoto wa kiume.

Kisha mishowe twaona Gomes na Watoto wa kiume.


Kumbukumbu binafsi ya A. C. na P. F Gomes: bonyeza kuikuza.Ghala la Picha za Coutinho Ghala za Gomes Ghala za deLord Ghala la Picha za Harji

Imehaririwa mwaka 2004 na Barghash

Haki Zote Zimehifadhiwa: Barghash@msn.com

Imetafsiriwa na George Mwidima gmwidima@yahoo.com