|
| MAENEO YA KUTEMBELEA ZANZIBAR
Miujiza ya uzuri wa ajabu wa kutatanisha wa kibla cha Msiiti wa miaka 900. Karibu na kijiji cha Kizimkazi Kusini Mashariki ya Kisiwa cha Unguja.
Zunguka katika Magofu ya Kasri ya Mtoni. Kusini kidogo tu ya Mji Mkongwe.
Angalia pembezoni mwa milima ya milimilo ya majabali iliyomomonyoka, ijulikanayo kama "Ngazi za waridi". "Pink Terraces" Kusini kidogo ya Mji Mkongwe
Tembelea kumbukumbu za utumwa. Kando tu ya kanisa la Minara miwili la Mji Mkongwe.
Burudika na Tarab, muziki wa kizanzibari. Popote pale wazanzibari watapokusanyika kusherehekea.
Kimbilia kutazama vipepeo adimu katika Msitu. wa Jozani Unguja na Ngezi Pemba.
Tembelea na kufahamu vichochoro njia na mitaa ya kushangaza. Maajabu na yenye mazonge ya Mji Mkongwe utatamani usiondoke.
Webmaster: Barghash@msn.com
|
|
|